Mwili Wa Manariadha Agnes Tirop Umepelekwa Sasa Katika Boma La Wazazi Wake Kijiji Cha Kapnyamisa,Kaunti Ya Nandi Ambako Anatarajiwa Kuzikwa Jumamosi.