Gavana Wa Migori Afunguliwa Mashtaka Upya Katika Kesi Ya Ufisadi

2021-10-21 10

Gavana Wa Migori Okoth Obado Amefunguliwa Mashtaka Upya Katika Kesi Ya Ufisadi Inayomkabili Pamoja Na Familia Yake. Hii Ni Baada Ya Mahakama Kukubali Ombi La Mkuu Wa Mashtaka Ya Umma La Kutaka Kuleta Ushahidi Mpya Katika Kesi Ya Obado. Obado Pamoja Na Wanawe Wanatuhumiwa Kujinufaisha Na Kitita Cha Shilingi Milioni 256 Kinyume Cha Sheria