Viongozi Katika Kaunti Ya Kisii Wahamasisha Wakazi kushirikiana Ili Kupinga Swala La Mauaji
2021-10-21
6
Kundi La Wazee Kutoka Kaunti Ya Kisii Wameanzisha Hamasisho Dhidi Ya Tamaduni Za Kizamani Zinazopelekea Maafa, Baada Ya Kina Mama Wanne Kuuliwa Kwa Tuhuma Za Uchawi.