Wazri Wa Afya Mutahi Kagwe Asema Kuwa Baa Zitafungwa Saa Tano Usiku.

2021-10-21 9

Wizara Ya Afya Inasema Kuwa Maeneo Ya Burudani Kama Vile Baa Na Mikahawa Yatafungwa Saa Tano Usiku. Hii Inafuatia Suintofahamu Baada Ya Rais Kuondoa Amri Ya Kafyu. Wakati Huo Huo, Waziri Wa Afya Mutahi Kagwe Anawataka Wakenya Kutolegeza Kamba Ya Kanuni Za Kuzuia Kuenea Kwa Covid19