Tume Ya IEBC Yahusisha Watu Walio Na Ulemavu Kwa Usajili Wa Kadi Za Kupiga Kura

2021-10-21 6

Tume Ya Uchaguzi Na Mipaka Iebc Imeeleza Kughadhabishwa Kwake Na Uamuzi Wa Mahakama Uliofutilia Mbali Kigezo Cha Wagombea Wa Ubunge Kuwa Na Shahada Ya Digrii. Mwenyekiti Wa IEBC Wafula Chebukati Anasema Kuwa Ni Sharti Kuwe Na Kigezo Hicho Ikiwa Taifa Litapata Viongozi Bora. Lucy Riley Anatuletea Taarifa Hio.