Wizara Ya Michezo Inasema Kuwa Imeteua Jopo La Kuchunguza Changamoto Wanazopitia Wanariadha Wa Humu Nchini Ili Kupata Suluhu Ya Changamoto Wanazopitia Za Kinyumbani.