Maseneta Waomboleza Kifo Chake Agnes Tirop Wanaitaka Wizara Ya Michezo Kubini Mbinu Za Kuwatetea Wanamichezo

2021-10-20 7

Maseneta Waliahirisha Shughli Zao Na Kuandaa Kikao Cha Kuomboleza Kifo Cha Mshikilizi Wa Rekodi Ya Dunia Katika Mbio Za Mita 100 Agnes Tirop.Tirop Alipatikana Amefariki Nyumbani Kwake Iten Kaunti Ya Elgeyo Marakwet Oktoba 13.