Rais Uhuru Akwepa Siasa Huku Ruto Na Raila Wakilumbana

2021-10-20 6

Sherehe Ya Mashujaa Ilikuwa Ya Kusubiriwa Kwa Hamu Na Ghamu Wakati Vigogo Wa Kisiasa Walipojumuika Pamoja.Macho Ya Wakenya Yalielekezwa Kwa Rais Uhuru Kenyatta,Kinara Wa Upinzani Raila Odinga Na Naibu Wa Rais William Ruto Ambaye Kwa Mda Ametofautiana Na Wawili Hao Kuhusu Siasa Za Urithi Za Mwaka 2022.Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti,Rais Alikwepa Swala La Siasa Huku Akiwaacha Ruto Na Raila Kulumbana Kuhusu Ni Nani Mbora Wa Kuongoza Taifa.