Jengo La Ghorofa 9 Laporomoka Ruiru Kiambu

2021-10-17 9

Baadhi Ya Viongozi Kutoka Mlima Kenya Wanamtaka Kinara Wa Odm Raila Odinga Amchague Peter Kenneth Kama Mgombea Mwenza Katika Uchaguzi Mkuu Mwaka Ujao. Viongozi Hao Wakiwemo Wabunge Wa Kangema, Muturi Kigano, Mbunge Wa Gatanga, Nduati Ngugi, Mbunge Wa Mathioya Peter Kimari Na Wengineo, Wamedai Kuwa Wakati Umefika Wa Kiongozi Kutoka Kaunti Yao Ya Murang'a Kuongoza Nchi Na Kuwa Peter Kenneth Ni Pendekezo Lao Wa Naibu Wa Rais Mwaka Ujao.