Kenya Kususia Uamuzi Wa Mahakama Katika Mzozo Wa Mpaka Wa Baharini

2021-10-08 6

Mzozo Wa Kidkiplomasia Baina Ya Kenya Na Somalia Kuhusu Mpaka Wa Baharini Unatarajiwa Kukolea Baada Ya Kenya Kusema Kwamba Haina Imani Na Uamuzi Unaotarajiwa Kutolewa Juma Lijalo Kuhusu Mzozo Huo.