Mtu Mmoja Kupotea Na Wengine Kunusurika Kifo Chini Ya Kifusi Baada Ya Migodi Ya Dhahabu Eneo La Osiri
2021-10-07
12
Mtu Mmoja Anaripotiwa Kuzikwa Chini Ya Kifusi Baada Ya Migodi Ya Dhahabu Eneo La Osiri Matanda Kuporomoka. Wachimba Migodi Wengine 23 Wameokolewa Huku Shughuzi Za Uokozi Zikiendelea.