Wakazi Katika Kaunti Ya Malindi Walitaka Bunge La Kaunti Kupinga Suala La Unyakuzi Wa Ardhi

2021-10-07 9

Wakazi Katika Kijiji Cha Kwa Kadzengo, Kaunti Ya Kilifi, Wameliomba Bunge La Kaunti Ya Kilifi Kuingilia Kati Ili Kusitisha Unyakuzi Wa Ardhi Yao. Wakazi Hao Wapatao 3,000 Wamelitaka Bunge La Kaunti Kuchunguza Kisa Cha Mauzo Ya Ardhi Hiyo Ambayo Wameita Nyumbani Kwa Miaka Mingi.