Baadhi Ya Viongozi Kutoka Sehemu Ya Chakama Katika Kaunti Ya Kilifi Wamelalama Kuwa Ingawa Serikali Imeanza Kuwasaidia Watu Walioathirika Na Baa La Njaa Mijini, Huenda Watu Wengi Zaidi Walio Mashinani Wakapitwa Na Msaada Huo. Na Kama Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Licha Ya Serikali Kutenga Bilioni 2, Zaidi Ya Watu Milioni 2.1 Bado Wanaathirika Na Baa La Njaa.