Kocha Paul Bitok Amewataka Wachezaji Wa Humu Nchini Kukumbatia Nafasi Za Kusakata Voliboli Ya Kimataifa. Kulingana Na Bitok Mataifa Yanayotamba Afrika Kama Cameroon,Asilimia Themanini Ya Kikosi Chake Kinapiga Voliboli Ya Ughaibuni, Hili Likizidisha Ukomavu Na Tajriba Ya Timu Ya Taifa Katika Mashindano Ya Kimataifa.