Mwanamme Mmoja Kaunti Ya Nakuru Adaiwa Kumuuwa Mke Wake Kutokana Na Malumbano Nyumbani

2021-10-06 21

Polisi Katika Kaunti Ya Nakuru Wamemzuia Mwanamme Mwenye Umri 40 Kwa Madai Ya Kumuua Mkewe Kisha Kujaribu Kujuia Kwa Kujirusha Kutoka Kwa Ghorofa Anakoishi. Maafisa Wa Polisi Wamesihi Wananchi Kutafuta Njia Mbadala Za Kutatua Shida Zao.