Wakazi Wa Makadara Wataka Serikali Iwahakikishie Haki Na Ardhi Iliyojengwa Shule
2021-10-06
1
Baadhi Ya Wakazi Kutoka Sehemu Ya Makadara Kaunti Ya Nairobi Wameandamana Baada Ya Kubomolewa Kwa Ua Na Sehemu Ya Shule Ya Shule Ya Msingi Ya Martin Luther Asubuhi Ya Leo.