Baadhi Ya Wakaazi Kutoka Kaunti Laikipia Sasa Wamewasilisha Ombi Katika Bunge La Kitaifa Na Kuwataka Wajumbe Kuingilia Kati Na Kutatua Misukosuko Ambayo Imekuwa Ikishuhudiwa Katika Kaunti Hiyo Kwa Siku Kadhaa Sasa. Tema Saaya Anashikilia Kuwa Mzozano Baina Ya Jamii Ya Wafugaji Na Wakulima Ni Kutokana Na Umiliki Wa Ardhi Eneo La Ol Moran.