Wakazi Wa Deep Sea Wapoteza Makaazi Baada Ya Ubomozi

2021-10-06 1

Baadhi Ya Wakazi Wa Mtaa Wa Mabanda Wa Deep Sea Hapa Jijini Nairobi Bado Wanalazimika Kukesha Kwenye Kibaridi Baada Ya Serikali Kubomoa Nyumba Zao Ili Kuendesha Mradi Wa Ujenzi Wa Barabara.Wakazi Hao Ambao Wengi Wao Ni Walalahoi, Wanaililia Serikali Kuingilia Kati Kwa Kutatua Matatizo Yanayowakumba. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Alizuru Mtaa Huo Na Kukuchorea Taswira Ifuatayo.