Wanasiasa Wang'ang'ania Idadi Ya Wapiga Kura Wapya Kwenye Uchaguzi Wa 2022

2021-10-05 42

Wakati Zoezi La Kuwasajili Wapiga Kura Linapoendelea,Macho Ya Wanasiasa Yameangazia Maeneo Yao Ikizingatiwa Kwamba Siasa Za Humu Nchini Ni Za Kikabila Na Hivyo Kila Eneo Limezama Ndani Kupata Idadi Bora Ya Kufanya Mazungumzo Na Jamii Zingine.Ngome Ya Mlima Kenya,Kaskazini Mashariki Mwa Kenya Na Hata Pwani Ambayo Huenda Hayatakuwa Na Mgombea Tajika Wa Urais,Pia Wamo Mbioni Kwa Kuwarai Wenyeji Kujisajili Kwa Wingi Ili Kuwa Miongoni Mwa Wale Watakaounda Serikali Ijayo Baada Ya Rais Uhuru Kenyatta