TSC: Walimu 90 Walipoteza Maisha Yao Kutokana Na Covid-19

2021-10-05 16

Tume Ya Kuwaajiri Walimu Nchini Tsc Inasema Kuwa Walimu 90 Walipoteza Maisha Yao Kutokana Na Ugonjwa Wa Covid19 Unaosababishwa Na Virusi Vya Corona. Na Kama Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Anatueleza Walimu Pamoja Na Washikadau Katika Sekta Ya Elimu Walikongamana Hapa Jijini Kuadhimisha Siku Wa Walimu Ulimwenguni.