Raia Wa Uganda Akamatwa Mjini Nyali Kwa Mauji Ya Mwanamke

2021-10-05 7

Mshukiwa Wa Mauaji Ya Kikatili Ya Mwanamke Mmoja Mwenye Umri Wa Miaka 25 Yaliyotokea Siku Ya Jumatatu, Hatimaye Amekamatwa. Suleiman Mayanja, Raia Wa Uganda Ambaye Aliingia Nchini Mwezi Uliopita Kupitia Mpaka Wa Busia Alikamatwa Na Maafisa Wa Ujasusi Katika Eneo La Nyali Cinemax Huko Mombasa Ambapo Alikuwa Akijificha.