Karanja Kibicho Serikali Haitaongeza Idadi Ya Waalikwa Kutoka 2,000.

2021-10-05 1

Katibu Katika Wizara Ya Usalama Karanja Kibicho Anasema Kuwa Hawataongeza Idadi Ya Wakenya Wanaotarajiwa Kuhudhuria Sherehe Ya Mashujaa Kutoka 20,000.