Moto Wateketeza Nyumba Za Wakazi Wa Mji Wa Embu

2021-10-05 1

Mali Yenye Thamani Ya Mamilioni Imeteketea Katika Mkasa Wa Moto Uliotokea Usiku Wa Kuamkia Leo Katika Jumba Moja Kaunti Ya Embu Na Kuacha Familia Tano Bila Makao. Wakaazi Sasa Wakiisihi Serikali Ya Kaunti Kuongeza Mgao Wa Fedha Zitakazotumika Kununua Magari Ya Kuzima Moto