Wafugaji Wa Punda Walalamikia Uchinjaji Na Wizi Wa Punda Kisumu
2021-10-04
9
Huku Siku Ya Wanyama Ikiadhimishwa Kote Duniani,Wamiliki Wa Punda Katika Kaunti Ya Kisumu Wamelalamikia Ongezeko La Visa Vya Wizi Wa Punda Wao, Hali Ambayo Imeibua Hofu Miongoni Mwa Wakazi.