Mikakati Dhidi Ya Covid 19 Kuongezwa Kwa Siku 30

2021-10-04 6

Tanngazo Kuwa Amri Ya Kafyu Itaendelea Kwa Muda Wa Mwezi Mmoja Zaidi Tayari Linazua Hisia Kali Huku Wakenya Wengi Wakihisi Kuwa Amri Hiyo Imepitwa Na Wakati. Wakenya Tuliozungumza Nao Wanadai Kuwa Serikali Inakosea Kuongeza Amri Hiyo Kwani Kiwango Cha Maambukizi Kimeshuka Kwa Kiasi Kikubwa.