Washikadau Waitaka Serikali Kuwajumuisha Vijana Katika Mipango

2021-10-03 41

Washikdau Katika Sekta Ya Kibinafsi Wamelalama Kuwa Mipango Kuu Ya Serikali Kutolenga Maslahi Ya Vijana Nchini.Sasa Wanaitaka Serikali Kubuni Mipango Ambao Itawajumuisha Vijana Wakati Taifa Linaelekea Katika Uchaguzi Mkuu Nchini 2022.