Baadhi Ya Wanawake Katika Kaunti Ya Kilifi Wanalalama Kuhusu Unyakuzi Wa Vipande Vyao Vya Ardhi Na Baadhi Ya Wanasiasa.Wanaitaka Serikali Sasa Kuwajibika Kuhakikisha Wamepata Haki Yao.Kulingana Nao Hii Ni Mojawapo Ya Masuala Ambyo Yanachangia Pakubw Siasa Za Utengano Baina Ya Jamii Hasa Wakati Taifa Linaelekea Uchaguzi Mkuu Wa 2022