Mwanamke Mmoja Afariki Kutokana Na Ajali Ya Bodaboda Kariari

2021-10-03 1

Familia Moja Kutoka Kijiji Cha Kariari Kaunti Ya Embu Wanataka Haki Itendeke Baada Ya Jamaa Yao Kufariki Kutokana Na Majeraha Yaliyosababishwa Na Ajali Ya Bodaboda. Ndugu Ya Marehemu Silas Ngari Amelalama Kuwa Visa Vya Ajali Za Bodaboda Zimeongezeka Kutokana Na Vijana Wanaoendesha Bodaboda Hizo Bila Umahiri.