Wenyeji Wa Deep Sea Wangali Wanaishi Kwa Baridi Baada Ya Kubomolewa

2021-10-03 0

Mbunge Wa Westlands Timothy Wanyonyi Amesema Atawasilisha Malalamishi Bungeni Iwapo Utaratibu Ulifuatwa Kabla Ya Kuwafurusha Wenyeji Wa Mtaa Wa Mabanda Wa Deep Sea.