Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Iebc Pamoja Na Afisi Ya Msajili Mkuu Wa Vyama Imewataka Wagombea Katika Nyadhifa Mbalimbali Za Kisiasa Kuwa Wangalifu Dhidi Ya Vyeti Bandia Vya Uteuzi.Msajili Wa Vyama Anne Nderitu Aidha Amesema Wameweka Mikakati Kuhusu Ni Nani Wa Kutia Saini Vyeti Vya Uteuzi Vya Vyama Tofauti//Mwanahabari Wetu Jeff Khamba Na Taarifa Kamili//