Oparesheni Katika Mahakama Ya Shanzu Kaunti Ya Mombasa Ilisitishwa Kwa Muda Baada Ya Mtu Mmoja Kudai Kuwa Ameghadhabishwa Na Wafanyakazi Katika Mahakama Ya Shanzu. Gordon Teti Anadai Kuwa Baadhi Ya Maafisa Katika Mahakama Hiyo Walisambaratisha Jitihada Zake Ya Kupata Stakabadhi Muhimu Huku Wakimuitisha Hongo. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi………..