Raila Amewataka Wakenya Kuunga Mkono Agenda Yake Ya Umoja

2021-10-01 1

Siasa Za Mwaka 2022 Zinazidi Kuchacha, Kwa Upande Moja Kinara Wa Odm Raila Amolo Odinga Sasa Anashikilia Kuwa Chama Cha Odm Kimejiandaa Kuandaa Misururu Ya Kampeni Maeneo Kadhaa Nchini Siku Ya Jumamosi Na Jumapili. Na Kwa Upande Mwingine Naibu Rais William Ruto Amezidisha Vijembe Vyake Dhidi Ya Wapinzani Wake Akisema Kuwa Uchaguzi Wa 2022 Utakua Baina Ya Walalahoi Na Mabwenyenye. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi……..