Kinara Wa ODM Kwa Sasa Yuko Katika Kikao Na Wafanyabiashara
2021-09-28 66
Kinara Wa Odm Raila Odinga Kwa Sasa Yuko Katika Kikao Na Kundi La Wafanyabiashara Kutoka Katika Eneo La Mlima Kenya. Mkutano Huo Unaonekana Kama Jiza Titi Za Raila Za Kuukwea Mlima Kenya Ambako Anamezea Mate Zaidi Ya Kura Milioni 5.