Daktari Gakara Na Wanawe Wawili Wazikwa Kaunti Ndogo Ya Gilgil

2021-09-28 3

Wingu La Simanzi Lilitanda Katika Kijiji Cha Muririchwa Kaunti Ndogo Ya Gilgil Kaunti Ya Nakuru Wakati Wa Mazishi Ya Daktari James Gakara Anayedaiwa Kuwaua Wanawe Wawili Kabla Ya Jaribio La Kujitoa Uhai. Ndugu Jamaa Na Marafiki Waliohudhuria Mazishi Hayo Wamewataka Wakenya Kuwa Na Utu Na Kuzingatia Haswa Wanachosema Mitandaoni Kwani Huenda Ikaathiri Familia Waliosalia.