Wizara Ya Kigeni Yalaumu Wizara Ya Leba Kuchangia Masaibu Ya Wakenya Uarabuni

2021-09-23 14

Wizara Ya Maswala Ya Kigeni Imelimbikizia Lawama Wizara Ya Leba Kuwa Chanzo Cha Masaibu Yanayowakumba Baadhi Ya Wakenya Wanaosaka Ajira Nje Ya Nchi.Katibu Wa Wa Kudumu Katika Wizara Ya Maswala Ya Kigeni Macharia Kamau Ameiambia Kamati Ya Leba Bungeni Kwamba Visa Ipo Haja Kwa Wizara Husika Pamoja Na Idara Ya Ajira Kuzinduka Kwa Kutoa Mazingira Bora Kwa Wakenya Wanaoteseka Ughaibuni.