Chama Cha Wazazi Nchini Chatetea Mfumo Wa CBC

2021-09-20 0

Muungano Wa Wazazi Nchini Umejitokeza Kuunga Mkono Mfumo Wa Cbc Na Kuapa Kufika Mahakamani Kuutetea.Wiki Jana Wakili Nelson Havi Aliwasilisha Kesi Mahakamani Akiupinga Mfumo Huo Anaoutaja Kama Kutekelezwa Nchini Kinyume Cha Sheria .Haya Yanajiiri Huku Waziri Magoha Naye Kwa Upande Mwingine Akiwa Yupo Tisti Kuhusiana Na Mfumo Huo ….