Gaspo Women Walitinga Katika Nusu Fainali Ya Kombe La Fkf Kwa Kinadada.Hii Ni Baada Ya Kuwaadhibu Kayole Starlets Mabao 4-2 Kupitia Matuta Ya Penalti Ugani Ruaraka.