Mikasa Ya Moto Nairobi Yazidi, Wenyeji Walaumu Wazima Moto Kukawia Kuuzima Moto

2021-09-19 4

Mikasa Ya Mioto Jijini Nairobi Imekuwa Kero Kubwa Huku Lawama Ikitolewa Kwa Maafisa Wa Kuzima Moto Kuzembea Kazini.Kwa Muda Wa Juma Limoja,Kitongoji Cha Gatina Eneo Bunge La Dagoreti North,Kitongoji Cha Deep Sea Na Kile Cha Gichagi Eneo Bunge La Westlands Zimeathirika Na Moto Huku Chanzo Chake Kikisalia Kuwa Kitendawili.