KETAWU Yalalama Dhidi Ya Ufujaji Wa Fedha Na Bodi Mpya Ya KPLC

2021-09-14 13

Muungano Wa Wafanyakazi Wa Viwanda Vya Stima (Kewatu) Sasa Unaitaka Bodi Ya Kampuni Ya Kusambaza Umeme Nchini Kplc Kufutiliwa Mbali Kwa Kile Wanachodai Ni Sakata Ya Ufujaji Wa Fedha Za Umma. Haya Yajiri Siku Moja Tu Baada Ya Tume Ya Eacc Kuwaita Maafisa Tisa Wa Kampuni Ya Kenya Power Kuandikisha Taarifa Kutokana Na Hali Ya Kuvurugwa Kwa Taratibu Za Ununuzi Wa Bidhaa.