Joseph Malatit Atembea Kilomita 354 Kutoka Kabarnet Hadi Nairobi

2021-09-14 3

Kwa Mapenzi Ya Michezo,Aliyekuwa Naibu Chifu Wa Divisheni Ya Salawa,Kaunti Ndogo Ya Baringo Central Joseph Malatit Alitembea Takribani Kilomita 354 Kauli Mbiu Ikiwa Kupigia Ramli Ujenzi Wa Uwanja Wa Kabarnet.Malatit Ambaye Alipokelewa Na Wakaazi Wa Kabarnet Alisema Kuwa Tayari Ameshawasilisha Ombi Lake Kwa Wizara Ya Michezo.