Baadhi Ya Viongozi Kutoka Jamii Ya MAA Waapa Kumuunga Raila Mkono

2021-09-13 9

Kinara Wa ODM Raila Odinga Pamoja Na Wendani Wake Wanajipigia Debe Katika Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2022. Akizungumza Katika Kongamano La Viongozi Kaunti Ya Kajiado, Raila Ameshikilia Kuwa Ripoti Ya Bbi Ingenufaisha Jamii Ya Maa Na Kutatua Baadhi Ya Changamoto Zinazowakabili. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi……….