Muungano Wa Walimu Kuppet Unaitaka Serikali Ihitimishe Jitihada Za Kutoa Shule Za Bweni Ili Kuwapunguzia Walimu Mzigo Wa Kazi. Katibu Mkuu Wa Muungano Huo Akelo Misori Amesema Wengi Wa Walimu Hufanya Kazi Kwa Masaa Marefu Na Hawalipwi Marupuru. Isitoshe Walimu Wamelalama Ukosefu Wa Usalama Wanapotoka Shuleni Kuchelewa. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anatuarifu Zaidi.