Zaidi Ya Wanafunzi 436 000 Wanufaika Kilifi

2021-09-12 1

Serikali Ya Kaunti Ya Kilifi Imezindua Mradi Mpya Ambao Umeigarimu Zaidi Ya Shillingi Billioni Tatu Kuwanufaisha Wanafunzi 436,000 Walio Na Mahitaji Masomoni.Mradi Huu Ulianzishwa Na Gavana Amason Kingi Baada Ya Ugatuzi Ili Kuwasidia Wanafunzi Hao Wasiojiweza Kuendelea Na Masomo.