Waziri Wa Elimu Nchini Profesa George Magoha Amesisitiza Kwamba Mtaala Mpya Wa Elimu Wa Cbc Utaendelea Kutekelezwa Licha Ya Lalama Kutoka Kwa Baadhi Ya Wazazi Na Wadau Husika.