Viongozi Wa Chama Cha Wiper Watishia Kumtenga Kalonzo

2021-09-08 4

Viongozi Na Wafuasi Wa Kinara Wa Chama Cha Wiper Kalonzo Musyoka Wametishia Kumtenga Kalonzo Endapo Atamuunga Raila Odinga Mkono Katika Uchaguzi Wa Mwaka Ujao Kwa Kuwa Naibu Wake.Wakiongozwa Na Seneta Wa Kaunti Ya Kitui Enoch Wambua, Viongozi Hao Wamemuonya Kalonzo Dhidi Ya Kumuunga Mkono Raila Huku Wakisema Kwamba Atakuwa Peke Yake Kwenye Safari Hiyo.