Wakati Taifa Linapojiandaa Kuelekea Katika Uchaguzi Mkuu Wa 2022, Macho Ya Wakenya Yameangazia Kwa Vigogo Wanaomezea Kuchukua Nafasi Ya Urais Baada Ya Rais Uhuru Kenyatta Kustaafu. Lakini Wakati Kinyang'anyiro Kinapowadia, Wandani Wa Wagombea Wa Urais Wanatumia Kila Mbinu Kuwapigia Tarumbeta Angalau Kupata Nafasi Ya Kuchaguliwa Katika Nyadhifa Mbalimbali Za Kisiasa. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anaangazia Baadhi Ya Wanasiasa Ambao Ni Kupe Kwa Vigogo Wao Kwani Licha Ya Kufanya Maendeleo Yeyote Wameweza Kuchaguliwa.