Viongozi Kutoka Ukambani Wamepiga Naibu Rais William Ruto Vijembe

2021-09-04 0

Viongozi Kutoka Ukambani Wamepiga Naibu Wa Rais William Ruto Vijembe Huku Wakishikilia Kuwa Mfumo Wa Uchumi Anaopendekeza Haitawasaidia Wakenya Bali Ni Njia Moja Ya Kutafuta Kura Ya Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2022. Viongozi Hao Vile Vile Wameshinikiza Wakaazi Kutoka Eneo Hilo Kumuunga Mkono Rais Uhuru Kenyatta Pamoja Na Kinara Wa Odm Raila Amolo Odinga Katika Uchaguzi.