Naibu Wa Rais William Ruto Ameitaka Serikali Kuendeleza Mchakato Wa Ukaguzi Wa Mali Ya Wafanyakazi Wa Umma Baada Ya Mali Yake Kufichuliwa Bungeni Wakati Wa Kuchunguza Hatua Iliyopelekea Ulinzi Wake Kufanyiwa Mabadiliko.Ruto Amekiri Kumilikiki Nyingi Ya Mali Iliyowekwa Wazi Na Waziri Wa Usalama Wa Ndani Dkt Fred Matiangi Na Sasa Anataka Mjeledi Uliompata Unafaa Kutekelezwa Kwa Maafisa Wengine Wakuu Serikalini.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili//