Tume Ya Polisi Nchini Imeanzisha Mafunzo Ya Kiafya Kwa Maafisa Wake

2021-09-02 0

Afisa Mmoja Wa Polisi Katika Kituo Cha Siaya Ameteketea Na Kufariki Katika Kisa Ambacho Kimewaacha Vinywa Wazi Wakazi Wa Eneo Hilo. Kulingana Na Maafisa Wenzake, Afisa Huyu Alijifungia Ndani Ya Chumba Kilichokuwa Na Mitungi Miwili Ya Gesi Ambayo Ililipuka Na Kumteketeza. Visa Vya Polisi Kujiua Vimekuwa Vikiongezeka Nchini Huku Hii Leo Tume Ya Kushughlikia Maslahi Ya Polisi Nchini Ikianzisha Mafunzo Ya Kiafya Ambayo Yatajumuisha Kisaikolojia.