Gavana Wa West Pokot Alaumu Polisi Kwa Maafa Chesegon

2021-08-30 15

Gavana Wa West Pokot John Lonyangapuo Amewanyoshea Kidole Cha Lawama Maafisa Wa Usalama Kutoka Serikali Kuu Kwa Kile Anachodai Kuwa Ni Kuzembea Kazini, Hali Iliyopelekea Utovu Wa Usalama Hususan Katika Mpaka Wa Elgeyo Matakwet Na Baringo. Gavana Huyo Anasema Kuwa Katika Kipindi Cha Muda Mfupi Uliopita, Kumekua Na Maafa Katika Eneo La Chesegon, Tukio Ambalo Pia Lilipelekea Wizi Wa Mifugo Na Hata Wakaazi Kutoweka Kutoka Manyumbani Kwao.